Rais Kikwete atembelea JWTZ anga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akiteremka kutoka kwenye ndege ya kijeshi ya JWTZ JW 9242 F 7 G ya kutoka nchini China wakati alipotembelea kikosi cha Anga Airwing Dar es Salaam.