Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kampuni ya Serengeti Breweries Ltd (SBL), Bi. Teddy Mapunda (kushoto), akizungumza leo Dar es Salaam na wanahabari kutangaza wanafunzi wanne waliofadhiliwa na SBL masomo ya Chuo Kikuu. Kulia ni mmoja wa wanafunzi waliopata udhamini wa masomo ya Chuo Kikuu, Fredrick Mwambafula (20). (Picha na Joachim Mushi)