SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

Dk. Avis Jones-DeWeever

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII, DK. DeWeever / U.S Speaker Program ATAWASILISHA

MADA: Women Empowerment: Uwezeshaji Wanawake

Lini: Jumatano Tarehe 15/8//2012

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni

WOTE MNAKARIBISHWA