Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Mkutano wa
Semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na
Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,baada ya kuwasilishwa
Mada ya “Wajibu wa Masheha katika Uandikishwaji wa Vitambulisho vya
Mzanzibari”,iliyomalizika katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset
Beach Hotel Wesha,semina hiyo imetayarishwa Ofisi ya Baraza la
Mapinduzi kwa ushirikiano UNDP,(kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalin Seif Sharif Hamad
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,
Othman M.Othman,akiwasilisha Mada ya “Wajibu wa Serikali za Mitaa
katika Kusimamia utawala Bora”, katika Semina ya siku tatu ya
Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za
Mitaa Zanzibar,iliyomalizika katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset
Beach Hotel Wesha,semina hiyo imetayarishwa Ofisi ya Baraza la
Mapinduzi kwa ushirikiano UNDP.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalin Seif Sharif
Hamad,alipokuwa akichangia Mada ya “Wajibu wa Serikali za Mitaa
katika Kuimarisha Utalii kwa Wote”,katika Semina ya siku tatu ya
Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za
Mitaa Zanzibar,iliyomalizika katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset
Beach Hotel Wesha,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Meja Mstaafu.
Viongozi wa Serikali za Mitaa wa Mikoa ya Pemba,wakiwa
katika semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na
Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar, katika
Ukumbi wa Pemba Misali Sunset beach Hotel Wesha. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]