Semina: Katiba na Masuala ya Watu Wenye Ulemavu

Tanzania Gender Networking Programme-TGNP

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII, SHIRIKA LA SHIVYAWATA WATAWASILISHA

MADA: KATIBA NA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU

LINI: Jumatano Tarehe 03/10/2012

MUDA: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni

WOTE MNAKARIBISHWA