Semina Juu ya Katiba na Haki za Wazee Tanzania

Baadhi ya wazee Tanzania

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA MADA NI Juliana Benard /HelpAge

MADA: KATIBA NA HAKI ZA WAZEE TANZANIA

Lini: Jumatano Tarehe 21/11/2012

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni

WOTE MNAKARIBISHWA