![WANAFUNZI SHULENI](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/WANAFUNZI-SHULENI.jpg)
Wanafunzi wakiwa katika muda wa mapumziko wakati wenzao wa kidato cha tano wakiendelea na mitihani ya mock
![MWALIMU](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/MWALIMU.jpg)
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Sekondari ya Naura, Ndugu Mary Shirima akifanya mahojiano na mwandishi kufahamu changamoto zinazoikabili shule hiyo
![wanafunzi wa sekondari iliyopo njiro](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/wanafunzi-wa-sekondari-iliyopo-njiro1.jpg)
Baadhi ya wanafunzi wanaosoma shuleni hapo wakiwa katika muda wa mapumziko
![mwalimu mkuu](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/mwalimu-mkuu.jpg)
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naura, Ndugu Sunday G. Mshobozi ambaye pia ndiye mwalimu pekee wa somo la Fizikia kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne.