Samuel Sitta Auomba U-spika wa Bunge la Tanzania Tena

Aliyewahi kuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samuel Sitta akiwa Ofisi za CCM kuchukua fomu kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania.

ALIYEKUWA Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samuel Sitta amejitokeza kuomba nafasi ya kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake. Spika amejitokeza leo akiomba nafasi hiyo ikiwa ni mara ya pili kama atafanikiwa kuipata. Samuel John Sitta aliyezaliwa Desemba 18 mwaka 1942 aliwahi kuwa Spika tangu mwaka 2005 hadi 2010 kabla ya kushindwa muhula uliofuata. Mwingine aliyejitokeza kuwania nafasi hiyo kupitia CCM pia ni aliyewahi kuwa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini, Dk. Emmanuel Nchimbi.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi.