Safe Point yaisaidia Tanzania sindano

Naibu waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Lucy Nkya (katikati) akipokea msaada wa maboksi yenye sindano kutoka kwa Bw. Marc Koska (wa pili kutoka kulia)  mwasisi wa Taasisi ya kujitolea ya Safe Point Trust ya Uingereza ikiwa ni ishara ya kupokea msaada wa kontena moja lenye sindano zenye viwango vya kimataifa ambazo huruhusu kutumika mara moja kwa mgonjwa mmoja na hivyo kupunguza maambukizi ya Ugonjwa wa Ukimwi jana jijini Dar es salaam. Wengine  wanaoshuhudia ni Mganga mkuu wa Serikali Dk. Deo Mutasiwa (kushoto) na Dk. Magreth Muhando (kulia), (PICHA NA ARON MSIGWA-MAELEZO)