
Njiani…! Shamba la Chai Kijiji cha Mwakaleli

Shamba la Chai Kijiji cha Mwakaleli, Tukuyu.

Shamba la Kakao Kijiji cha Sanu, Kyela.

Mti wa mkakao shambani.

Zao la Kakao (cocoa) likiwa limeanikwa Kijiji cha Sanu, Kyela

Zao la Kokoa (Cocoa) likiwa limeanikwa juani.