
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Sadolin bwana Pramod K.
Tiwari(kulia)akimkabidhi mfano wa funguo mshindi wa kwanza wa promosheni
ya Kwangua Ushinde bwana Abdul-aziz Massawe(46) mkazi wa Temeke jijini

Bwana Abdul-aziz Massawe(46) ambaye ni mshindi wa
kwanza wa promosheni ya Kwangua Ushinde inayoendeshwa na Kampuni ya
rangi ya Sadolin akiwa mwenye furaha mara baada ya kukabidhiwa pikipiki
yake jijini Dar es Salaam