
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete akizungumza na wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kitongoji cha Mbala Kata ya Bwilingu wakati akiomba kura kwa wananchi hao, Uchaguzi wa Jimbo la Chalinze unatarajiwa kufanyika Aprili 6 jumapili mwaka huu.
Msanii Sam wa Ukweli akifanya vitu vyake katika mkutano huo.
Msanii Sam wa Ukweli akifanya vitu vyake katika mkutano huo.
Watoto wakipakiana kwenye baiskeli katika maeneo ya Chalinze mjini.
Umati wa watu waliohudhuria katika mkutano huo
Picha na FullShangwe Blog