Real Madrid Wampiga Mtu Bao 10

Satellite_022
Klabu ya soka ya Real Madrid iliifanikiwa kuifunga Timu ya Rayo Vallecano Bao 10-2 katika Mechi ya ligi kuu ya Hispania
Madrid walianza kufunga mabao kupitia Danilo na Rayo Vallecano wakasawazisha na kuongeza bao na kuongoza ikiwa ni bao 2-1.

Katika ushindi wa mabao hayo 10-2 -mbali na mchezaji Danilo mabao mengine ya madridi yalifungwa na wachezaji Gareth Bale mabao manne, Cristiano Ronaldo mabao mawili Karim Benzema mabao matatu ,huku mabao ya Rayo Vallecano yakifungwa na Antonio Amaya Pamoja na Jozabed.
Satellite_043
Ushindi huu umewabakisha Real Madrid katika Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 2 nyuma ya Vinara Barcelona na Atletico Madrid .