RC Njombe Asherekea Siku ya Kuzaliwa kwa Kusaidia Wazazi Hospitalini

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Dk. Rehema Nchimbi akiwa kwenye chumba cha wazazi akiwapatia akina mama waliojifungua watoto zawadi mbalimbali kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Mama DR Rehema Nchimbi akifurahia jambo na watoto wake. Wanafamilia tunapenda kuungana na watanzania wote kumtakia heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mama yetu mpendwa Dk. Rehema Nchimbi, Mungu azidi kumlinda na kumtunza ili aendelee kutumika kwa faida ya Taifa letu.

Pichani mama mzazi wa Mh. Dk. Rehema Nchimbi, Bibi Mwl. Selina Daudi.