
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza na makundi ya vijana wajasiriamali na wasanii wa Filamu jijini Arusha. Amesema fani hiyo ni muhimu katika kuhamasisha maendeleo na kujenga mshikamano.
![]() |
Mkuu wa Idara ya maendeleo ya jamii Jiji la Arusha, Tajiel Mahega akizungumza katika mkutano huo. |
![]() |
||
Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji na Filamu mkoa wa Arusha (TDFAA), Isack Chalo. |
![]() |
Burudani ikiendelea kutolewa na kikundi cha Sarakasi. |
![]() |
Burudani ikiendelea kutolewa na kikundi cha Sarakasi. |