
Rungwe Jr. wa Thehabari akiwa amepozi na Ras Makunja wa The Ngoma Afrika (Katikati) kabla hawajaanza kutoa dozi. Kulia kwa Makunja, pia ni shabiki wa The Ngoma Afrika

mhhh….

si mchezooo…

si mchezooo…

palikuwa hapatoshi….

nyomi!

Nyomi ilikuwa si ya mchezo!

doziii…

kwaya….

Band maalum ya kwaya yenye makazi yake Holland nayo ilkuwepo kutumbuiza

si mchezo….

Vijana wa Makunja

Makunja akitoa dozi

Makunja na kikosi chake

MC akianza kutangaza Band zitakazotumbuiza
Tamasha hili linafikia tamati leo tarehe 20/7/2014, baada ya kuanza tarehe 17/7/2014. Tamasha hili hufanyika kila mwaka hapa jijini Tuebingen, Ujerumani, ambapo waafrika hutumia fursa hii kuonyesha utamaduni wao kupitia bidhaa mbalimbali, ikiwemo miziki.
Picha zote na dev.kisakuzi.com, Tuebingen, Ujerumani