Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, chini wa Wazri wake Haroun Ali Suleiman, (wa tatu kulia) katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar jana, (kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad. [ Picha na Ramadhan Othman, IKULU]