
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete (kulia) akiongozana na mgeni wake Rais wa Uganda Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (kulia) leo jijini Dar es salaam mara baada ya kuwasili kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kikazi nchini Tanzania kupita katikati ya gwaride maalum liloandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)