Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atembelea Banda la Benki ya NMB Sabasaba

Rais msataafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni katika banda la Benki ya NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa alipotembelea banda hilo. Wa kwanza kulia ni Meneja wa banda la Benki ya NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa, Josephiner Kulwa.

Meneja wa Banda la NMB, Josephiner Kulwa (katikati) kwenye Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa akitoa maelezo kwa Rais msataafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea banda hilo kujionesha shughuli na bidhaa anuai zinazotolewa na NMB.

Meneja wa banda la Benki ya NMB katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2016, Josephiner Kulwa (kushoto), akimkaribisha Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete alipotembelea banda hilo.

Meneja wa Banda la NMB, Josephiner Kulwa (kulia) kwenye Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa akitoa maelezo kwa Rais msataafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea banda hilo kujionesha shughuli na bidhaa anuai zinazotolewa na NMB.

Rais msataafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ndani ya banda la Benki ya NMB katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa alipotembelea banda hilo. Kushoto ni Ofisa Bidhaa wa Benki ya NMB, Hezbon Mpate.

Rais mstaafu Jakaya Kikwete (katikati), akitoka katika banda la Benki ya NMB alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2016 yanayoendelea katika viwanja vya Biashara vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo . Kulia ni Meneja wa banda hilo, Josephiner Kulwa na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Edwin Rutageruka.

Rais mstaafu Jakaya Kikwete (mwenye miwani katikati), akiwasili katika banda la Benki ya NMB alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Edwin Rutageruka na kulia ni Meneja wa Banda la NMB, Josephiner Kulwa wakiambatana naye.

Rais msataafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika moja ya mabanda yanayosapotiwa na Benki ya NMB.