Rais Magufuli, Makamu Mama Samia na Rais Mstaafu Kikwete Wafanya Usafi Mitaani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiweka taka ndani ya ndoo ya Taka katika eneo la Magogoni jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akishiriki kuzoa taka na baadhi ya   wananchi wa eneo Morocco, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya  Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Rais Dk. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo  Dec 9, 2015. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akishiriki kuzoa taka na baadhi ya
wananchi wa eneo Morocco, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya
Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Rais Dk. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo
Dec 9, 2015. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiondoka eneo la Morocco, baada ya  kushiriki zoezi hilo na wananchi wa eneo hilo la kufanya usafi wa mazingira leo Dec 9, 2015. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiondoka eneo la Morocco, baada ya
kushiriki zoezi hilo na wananchi wa eneo hilo la kufanya usafi wa mazingira leo Dec 9, 2015. Picha na OMR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizoa taka katika eneo la ferry jijini Dar es Salaam.

5 (5)

Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifanya usafi katika soko kuu la Chalinze leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli