Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Barabara ya Arusha – Holili Kenya

Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli leo ameweka jiwe la Msingi la ujenzi katika barabara inayoelekea Nchini Kenya yenye urefu wa Km 234.3 wakiwa eneo la Tengeru jijini Arusha hadi Holili Nchini Kenya

Picha issamichuzi.blogspoti.com

maguful1

maguful

maguful2