Rais Magufuli Awapokea Marais wa Zambia na Chad Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli amlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli amlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya Novemba 27, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya Novemba 27, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kinyago cha Kimakonve cha "Umoja" na picha ya kuchora ya tembo na Mlima Kilimanjaro mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Novemba 27, 2016 PICHA ZOTE NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kinyago cha Kimakonve cha “Umoja” na picha ya kuchora ya tembo na Mlima Kilimanjaro mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Novemba 27, 2016 PICHA ZOTE NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu wakisimama kwa ajili ya nyimbo za Taifa na mizinga 11 mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya Novemba 27, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu wakisimama kwa ajili ya nyimbo za Taifa na mizinga 11 mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya Novemba 27, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akikagua gwaride rasmi i mara tu baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya Novemba 27, 2016

Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akikagua gwaride rasmi i mara tu baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya Novemba 27, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akisalimiana na mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika nchini mara tu baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya Novemba 27, 2016

Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akisalimiana na mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika nchini mara tu baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya Novemba 27, 2016.