Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mke wake mama Janeth Magufuli aliyelazwa katika Hospitali ya Muhimbili wodi ya Sewa Haji akipatiwa Matibabu jana Novemba 10,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu jana Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akiwafariji baadhi ya wagonjwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea kuona wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu hapo jana Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwapongeza kwa kazi nzuri baadhi ya madaktari na wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu jana Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi alipokuwa akitoka wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu jana Novemba 10, 2016
PICHA NA IKULU