Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi wakati akitembelea mabanda mbalimbali baada ya kufungua rasmi maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Rais Magufuli ameyafungua rasmi Maonyesho hayo, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017, ambapo kwa ushauri wake, Maonyesho haya kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017. Picha na Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi wakati akitoka kutembelea Banda la Kampuni ya TTCL kwenye maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Rais Magufuli tayari ameyafungua rasmi Maonyesho hayo, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017, ambapo kwa ushauri wake, Maonyesho haya kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017. Picha na Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi wakati akitembelea mabanda mbalimbali baada ya kufungua rasmi maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembelea mabanda mbalimbali kwenye maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Rais Magufuli tayari ameyafungua rasmi Maonyesho hayo, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017, ambapo kwa ushauri wake, Maonyesho haya kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017. Picha na Ikulu.