Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete Watoa Pole kwa Sajuki
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ‘ Sajuki’ nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es Salaam Januari 4, 2013. Picha na Ikulu.