
Rais Jakaya kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu na nyuma yao ni washindi, Fili Karashani (Lifetime achievement Award) na Neville Meena (Overall Winner) wakati wa hafla ya Tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka 2011 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

Rais Kikwete akimzawadia Neville Meena wa gazeti Mwananchi

Rais Kikwete katika Picha ya pamoja na washindi wote wa Tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka 2011.