
Rais Kikwete akikaribishwa na mwandaaji wa Tamasha la Matumaini, Eric Shigongo. Kati ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara akizungumza na wananchi katika tamasha la matumaini Dar kabla ya kumkaribisha JK.

Rais Kikwete akiingia uwanja wa Taifa akiongozana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na Eric Shigongo

Rais Kikwete akiwakagua Wabunge washabiki wa Simba kabla ya kuanza kwa mpambano katika Tamasha la Matumaini

Rais Kikwete akiwakagua Wabunge washabiki wa Yanga kabla ya kuanza kwa mpambano katika Tamasha la Matumaini

Rais Kikwete akiwahesabu timu za wabunge washabiki wa Yanga na Simba kabla ya kuanzisha mpambano huo katika Tamasha la Matumaini

Rais Kikwete akijiandaa kupuliza firimbi kuashiria kuanza kwa mpambano wa wabunge washabiki wa Yanga na Simba katika Tamasha la Matumaini