
Rais Dk. Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya mabalozi mbalimbali aliowakaribisha katika tafrija ya kuukaribisha Mwaka Mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Ikulu)

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi katika tafrija ya mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Ikulu)