Rais Kikwete Katika Msiba wa Sheikh Ali Mzee

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014. PICHA NA IKULU