
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazishi ya Mzee Omar Selemani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dodoma. Mzee Suleiman alifariki dunia hospitalini ya mkoa wa Dodoma jana tarehe 9 Februari, 2012 alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Picha na Ikulu.

Rais Kikwete akiwa katika mazishi ya Mzee Omar Selemani