Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Jakaya Kikwete (katikati) pamoja na viongozi wawakilishi kutoka mataifa ya Oman na China wakichanganya udongo kuashiria kuanza kwa ujenzi wa Bandari Kubwa na ya Kisasa Mjini Bagamoyo inayojengwa eneo la Mbegani.
Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Jakaya Kikwete akihutubia kabla ya kufanya uzinduzi wa Bandari Kubwa na ya Kisasa Mjini Bagamoyo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa wamesimama kuimba nyimbo za mataifa ya Tanzania, China na Oman eneo la Mbegani ilipojengwa Bandari ya Bagamoyo kushiriki hafla ya uzinduzi wa bandari hiyo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa wamesimama kuimba nyimbo za mataifa ya Tanzania, China na Oman eneo la Mbegani ilipojengwa Bandari ya Bagamoyo kushiriki hafla ya uzinduzi wa bandari hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa na ya Kisasa Mjini Bagamoyo uliofanywa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
Mkurugenzi Mkuu wa EPZA, Kanali Joseph Simbakalia akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa na ya Kisasa Mjini Bagamoyo uliofanywa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
Baadhi ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kushiriki hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa Mjini Bagamoyo uliofanywa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Jakaya Kikwete wakiwa katika hafla ya uzinduzi.
Baadhi ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kushiriki hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa Mjini Bagamoyo uliofanywa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Jakaya Kikwete wakiwa katika hafla ya uzinduzi.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa SGRF, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa na ya Kisasa Mjini Bagamoyo. Bandari hiyo kubwa na ya kisasa imejengwa kwa ubia kati ya nchi ya Tanzania, Jamuhuri ya Watu wa China na Oman.
Makamu wa Rais wa Kampuni ya China Merchants Group, Dk. Hu Jianhua akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa na ya Kisasa Mjini Bagamoyo.
Waziri wa Miundombinu nchini Tanzania, Samuel Sitta, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa na ya Kisasa Mjini Bagamoyo uliofanywa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
Hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa Mjini Bagamoyo ikiendelea…!
Baadhi ya wananchi na wakazi wa Vijiji vya Pande na Mlingotini eneo la Mbegani wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa Mjini Bagamoyo iliyojengwa kwa ubia kati ya nchi ya Tanzania, Jamhuri ya Watu wa China na Oman.
Baadhi ya wananchi na wakazi wa Vijiji vya Pande na Mlingotini eneo la Mbegani wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa Mjini Bagamoyo iliyojengwa kwa ubia kati ya nchi ya Tanzania, Jamhuri ya Watu wa China na Oman.
Baadhi ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kushiriki hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa Mjini Bagamoyo uliofanywa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Jakaya Kikwete wakiwa katika hafla ya uzinduzi.
Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Jakaya Kikwete akipokea zawadi alizopewa na viongozi wawakilishi kutoka mataifa ya Oman na China ambao wapo katika ubia wa ujenzi wa Bandari Kubwa na ya Kisasa Mjini Bagamoyo inayojengwa eneo la Mbegani.

Vikundi anuai vya sanaa vikitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa Mjini Bagamoyo uliofanywa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania.
Bendi maalum ya Jeshi ikitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kubwa Mjini Bagamoyo uliofanywa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania.
Waziri wa Miundombinu nchini Tanzania, Samuel Sitta pamoja na wageni waalikwa mbalimbali wakiwasili eneo la Mbegani ilipojengwa Bandari ya Bagamoyo kushiriki hafla ya uzinduzi wa bandari hiyo.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda akiwasili eneo la Mbegani ilipojengwa Bandari ya Bagamoyo kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa bandari hiyo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwasili eneo la Mbegani ilipojengwa Bandari ya Bagamoyo kushiriki hafla ya uzinduzi wa bandari hiyo.
Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Mbegani ilipojengwa Bandari ya Bagamoyo kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa bandari hiyo.