Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Programu ya Uongozi na Maadili katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam. Kushoto kwake ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.
Rais Kikwete, Kozi, Maadili Viongozi
Rais Jakaya Mrisho Meza kuu akiwa imesimama na meza kuu kuimba wimbo wa Taifa baada ya uzinduzi wa Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam leo. Kushoto kwake ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.