![Kadi ya utambulisho wa Blogu na Tovuti ya CCM](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/CARD-YA-UTAMBULISHO-WEB-NA-BLOG.jpg)
Kadi ya utambulisho wa Blogu na Tovuti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
![Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akizindua Blogu na Tovuti ya Chama hicho mjini Dodoma jana](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/Rais-Kikwete-akizindua-Blogu-na-Tovuti-Rais-Ya-Chama.jpg)
Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akizindua Blogu na Tovuti ya Chama hicho mjini Dodoma jana
![Pichani Nape akitoa maelezo kwa Rais Kikwete namna mitandao hiyo ya CCM itakavyokuwa ikifanya kazi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/Nape-akitoa-maelezo-kuhusu-mitandao-hiyo-ya-Chama.jpg)
Pichani Nape akitoa maelezo kwa Rais Kikwete namna mitandao hiyo ya CCM itakavyokuwa ikifanya kazi.
![Nape akimshauri jambo Rais Kikwete kwenye hafla hiyo mjini Dodoma](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/Nape-akimshauri-jambo-Rais-Kikwete.jpg)
Nape Nnauye (kulia) akimshauri jambo Rais Kikwete kwenye hafla hiyo mjini Dodoma
![Makongoro Nyerere akimtuza Nape wakati alipokuwa akilikung'uta gitaa kwenye afla hiyo](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/05/Makongoro-Nyerere-akimtuza-Nape.jpg)
Makongoro Nyerere akimtuza Nape wakati alipokuwa akilikung'uta gitaa kwenye afla hiyo