Rais Kikwete Awatunuku Nishani Watumishi wa Umma…!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Abbas Kandoro baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, ambayo hutolewa kwa wananchi waaminifu ambao kwa kujitolea kwao moja kwa moja wamelipatia Taifa sifa katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na kijamii

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Abbas Kandoro baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, ambayo hutolewa kwa wananchi waaminifu ambao kwa kujitolea kwao moja kwa moja wamelipatia Taifa sifa katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na kijamii

 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Parseko Vincent Kone baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Balozi Liberata Mulamula  nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi Liberata Mulamula baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Tuvako Nathaniel Manongi  baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Kipenka Musemembo Musa  baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili, ambayo hutolewa kwa watumishi wa Umma kuanzia Ngazi za Wakurugenzi kwenda juu na ambao wametumikia nchi si chini ya miaka 20 mfululizo wakiwa Maafisa waandamizi na walioonyesha Maadili Mema.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Florens Martin Turuka  baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Mbaraka Mohammed Abdulwakil   
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Sophia Elias Kaduma
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. HAB Mkwizu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza baada ya kimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Balozi Rajab Hassan Gamaha

Na Hassan Silayo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo amewavisha nishani mbalimbali watumishi wa Serikali kwa kutambua mchango wao kitaifa.
Rais Kikwete amefanya hivyo kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya sheria ya mamlaka ya Rais (sura ya 9) kamailivyorekebishwa mwaka 2002 fungu la 4 kama ilivyotangazwa katika tangazo la serikali namba 227.
Nishani zilizotunukiwa ni Nishani ya Jamhuri ya muungano Daraja la Kwanza, Nishani ya Utumishi mrefu na Maadili mema Daraja la kwanza, Nishani ya utumishi mrefu na Maadili mema Daraja la pili na Nishani ya Ushupavu.
Nishani hizo zinatunukiwa kwa watumishi ambao sifa zao zimekidhi mmatakwa ya nishani husika.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Peniel Lyimo
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Profesa Idris Suleiman Kikula
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Eliakim Paul Martin Mrema
 Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Emmanuel Roki Eugen Funto ambayo hutolewa kwa watumishi wa Umma kuanzia Ngazi za Wakurugenzi kwenda juu na ambao wametumikia nchi si chini ya miaka 20 mfululizo wakiwa Maafisa waandamizi na walioonyesha Maadili Mema.
 Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Agatha Claud Swai
 Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Scolastica Kitte Mwibale
 Rais Kikwete akimpongeza baada ya kumvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Mariam Subeti Sauri
 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Wilberforce Kahwa Kikwasi
 Rais Kikwete akimpongeza  kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Maria Immaculate Buchard
 Rais Kikwete akimpongeza baada ya kumvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Merina Leslie Ngoleka
 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Rosalia Marmo Massay
 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Rosalia Marmo Massay
 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Rosalia Marmo Massay
 Rais Kikwete akimvisha  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Dkt. Moses Losolo Swai
 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Gerald Michael Kulindwa
 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Dida Kalist Issuja
 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Dida Kalist Issuja
 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Katembo Saidi Msikilwa
 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Asumpta Yepi Mbawala
Rais Kikwete akimpongeza kwa  Nishani ya Ushupavu Koplo Liberatus Tibaitirwa Ndyetabula wa Magereza
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya Muungano daraja la kwanza, Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la kwanza na Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la pili na Ushupavu Jumanne Juni 23, 2015 katika ukumbi mpya wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam. 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya Muungano daraja la kwanza
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishaniya Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la kwanza
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na mtunukiwa wa Nishani ya Ushupavu Koplo Liberatus Tibaitirwa Ndyetabula wa Magereza (kushoto)
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya hafla hiyo. 
Mtoto wa mtunukiwa nishani Florens Martin Turuka alipata bahati ya kutumia Ipad yake kupiga picha viongozi na watunukiwa nishani.