Rais Kikwete Awaapisha Viongozi wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha, Hamisi Amir Msumi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha, Hilda A. Gondwe kuwa Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha, Celina Augustine M. Wambura kuwa Mjumbe wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Celina Augustine M. Wambura na familia yake baada ya kumuapisha kuwa Mjumbe wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na, Hamisi Amir Msumi na familia yake baada ya kumuapisha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali wakipiga picha ya pamoja na Mwenyekiti mpya wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Serikali Mhe Hamisi Amiri Msumi pamoja na wajumbe wapya Mhe Hilda A. Gondwe na Celine Augustine M. Wambura na viongozi wa Tume hiyo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana  na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mansoor Daya Chemicals baada ya kukutana naye leo Ikulu jijini Dar es salaam.