Rais Kikwete Awaapisha Mabalozi Wapya 

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal wakiwa na mabalozi wapya walioapishwa leo Juni 11, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma. Mabalozi hao ni Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli), anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China na Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC. (Picha zote na Ikulu)