Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Dk. Deodorus Kamala, kuwa Balozi wa Ubelgiji, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika leo mchana Desemba 19, Ikulu Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Phillip Marmo, kuwa Balozi wa China, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika leo mchana Desemba 19, Ikulu Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Dk. Batilda Buriani, kuwa Balozi wa Kenya, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika leo mchana Desemba 19, Ikulu Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Ally A. Saleh, kuwa Balozi wa Oman, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika leo mchana Desemba 19, Ikulu Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim, wakiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya baada ya kuapishwa rasmi Ikulu jana Dar es Salaam. Picha na IKULU