Baadhi ya wanafunzi (kushoto) wakizawadiwa madaftari kwenye banda la NSSF, Maonesho ya Sabasaba
Baadhi ya wanafunzi wakizawadiwa madaftari ndani ya banda la NSSF kwenye viwanja vya Sabasaba.
Huduma kwa wateja anuai ndani ya banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), maonesho ya Sabasaba ya 37.
Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF (kushoto waliokaa) wakitoa maelekezo juu ya huduma zinazotolewa na shirika hilo kwa wateja.
Kushoto ni mmoja wa wafanyakazi wa NSSF akitoa ufafanuzi kwa wateja waliowatembelea katika banda lao
Huduma kwa wateja zikiendelea ndani ya banda la NSSF Sabasaba
Baadhi ya wanufaika wa SACCOS zinazowezeshwa na NSSF wakionesha bidhaa zao
Wafanyabiashara wanufaika wa SACCOS zinazosaidiwa na NSSF wakiwa katika maonesho ya biashara sabasaba
Huduma ndani ya banda la NSSF
Rais Jakaya Kikwete akiangalia kiatu kilichotengenezwa na ngozi kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere jijini Dar es Salaam baada kupata maelezo kutoka kwa aliyetupa mgongo ambaye ni Mwalimu Mwandamizi Marwa Wambura kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam(DIT), Mwanza, ambapo aliitka taaasisi hiyo kushirikiana na wenye viwanda ili waweze kuajiri wahitimu wa chuo hicho ili fani hiyo isipotee. Picha hii na Magreth Kinabo –Maelezo.
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akiangalia mafuta ya ubuyu na bidhaa zingine kwenye banda la Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote (EOTF) kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere jijini Dares Salaam. Kutoka (kushoto) wa pili ni Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Stephen Emmanuel.
Huduma kwa wateja zikiendelea ndani ya mabanda anuai yaliyomo katika Banda Kuu la Wizara ya Fedha.
Huduma kwa wateja ndani ya banda la Mfuko wa Pesheni kwa Wafanyakazi wa Umma – PSPF katika Maonesho ya 37 ya Bishara, Sabasaba.
Mmoja wa wafanyakazi kutoka Dhamana ya Uwekezaji Tanzania -UTT (kushoto) akimuhudumia mteja aliyetembelea banda la UTT katika Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba.
Huduma ndani ya banda la wizara ya fedha katika maonesho ya 37 ya Biashara, Sabasaba.
Huduma ndani ya Banda Kuu la Wizara ya Fedha na Taasisi zake, Maonesho ya 37 ya Sabasaba
Zawadi pia kwa wanachama wa NSSF wanaotembelea zinatolewa kwenye banda hilo pia.