Rais Kikwete ataja majina ya wajumbe Tume ya mabadiliko ya Katiba

Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakimsubiri Rais Kikwete kuja kutangaza majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu.

Rais Kikwete akitangaza majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo. Picha na Ikulu

Na Mwandishi Wetu

RAIS Jakaya Kikwete leo ametaja majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, ambao wataendesha mchakato wa kuelekea kupatikana kwa Katiba Mpya. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais Tume hiy itaongozwa na Jaji Joseph Sinde WARIOBA kama Mwenyekiti huku Makamu Mwenyekiti akiwa ni Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI.

Wajumbe wengine ni kama ifuatavyo:-
WAJUMBE KUTOKA TANZANIA – BARA

Prof. Mwesiga L. BAREGU, Riziki Shahari MNGWALI, Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI, Richard Shadrack LYIMO, John J. NKOLO, Alhaj Said EL- MAAMRY, Jesca Sydney MKUCHU, Prof. Palamagamba J. KABUDI, Humphrey POLEPOLE, Yahya MSULWA, Esther P. MKWIZU, Maria Malingumu KASHONDA, Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb), Mwantumu Jasmine MALALE, Joseph BUTIKU

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA – ZANZIBAR
Dk. Salim Ahmed SALIM, Fatma Said ALI, Omar Sheha MUSSA, Raya Suleiman HAMAD, Awadh Ali SAID, Ussi Khamis HAJI, Salma MAOULIDI, Nassor Khamis MOHAMMED, Simai Mohamed SAID, Muhammed Yussuf MSHAMBA, Kibibi Mwinyi HASSAN, Suleiman Omar ALI, Salama Kombo AHMED, Abubakar Mohammed ALI, Ally Abdullah Ally SALEH,

UONGOZI WA SEKRETARIETI
Assaa Ahmad RASHID-Katibu, Casmir Sumba KYUKI -Naibu Katibu