
Rais Jakaya Kikwete akijiunga na waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA), Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es Salaam ambako Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe walikuwapo. (PICHA ZOTE NA IKULU)