RAIS wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya ikiwa ni pamoja na kutengua uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 12 na kuwapangia majukumu mengine wakuu wa wilaya 7. Taarifa imesema mabadilio hayo ameyafanya ili kuboresha utendaji kazi na pia kwa kuzingatia kuwepo kwa nafasi wazi ishirini na saba za wakuu wa wilaya kutokana na sababu mbalimbali.
Wakuu wa Wilaya Wanaotenguliwa ni pamoja na James Kisota Ole Millya wa Longido, Elias Wawa Lali wa Ngorongoro, Alfred Ernest Msovella wa Kongwa, Dany Beatus Makanga wa Kasulu, Fatma Losindilo Kimario wa Kisarawe, Elibariki Emanuel Kingu wa Igunga, Dr. Leticia Moses Warioba wa Iringa, Evarista Njilokiro Kalalu wa Mufindi na Abihudi Msimedi Saideya wa Momba.
Wengine ni pamoja na Martha Jachi Umbula wa Kiteto, Khalid Juma Mandia wa Babati, Eliasi Goroi Boe Boe Goroi wa Rorya. Hata hivyo katika mabadiliko hayo amewateua Wakuu wapya wa Wilaya 27 ili kujaza nafasi zilizowazi.
Aidha, Wakuu wa Wilaya sitini na nne (64) wamebadilishwa vituo vya kazi na Wakuu wa Wilaya arobaini na mbili (42) wameendelea kubaki katika vituo vya sasa. Wakuu wa Wilaya waliopandishwa vyeo ni John Vianney Mongela, Amina Juma Masenza, Dk. Ibrahim Hamis Msengi, Halima Omari Dendego na Daudi Felix Ntibenda.
Ifuatayo ni orodha kuonesha mabadiliko hayo.
Mabadiliko hayo yamezingatia kuwepo kwa nafasi wazi ishirini na saba (27) zilizotokana na:
a) Kufariki dunia Wakuu wa Wilaya 3;
b) Kupandishwa cheo Wakuu wa Wilaya 5 kuwa Wakuu wa Mikoa;
c) Kupangiwa majukumu mengine Wakuu wa Wilaya 7; na
d) Kutengua uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 12.
Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amewateua Wakuu wapya wa Wilaya 27 ili kujaza nafasi hizo wazi.
Aidha, Wakuu wa Wilaya sitini na nne (64) wamebadilishwa vituo vya kazi na Wakuu wa Wilaya arobaini na mbili (42) wameendelea kubaki katika vituo vya sasa.
1) Wakuu wa Wilaya waliofariki dunia
NA JINA WILAYA
1. Capt. (mst) James C. Yamungu Serengeti
2. Anna J. Magoha Urambo
3 Moshi M. Chang’a Kalambo
2) Wakuu wa Wilaya waliopandishwa cheo
Wakuu wa Wilaya wafuatao wamepandishwa cheo kuwa Wakuu wa Mikoa
NA JINA WILAYA MKOA ALIOPANGIWA
1. John Vianney Mongela Arusha Kagera
2. Amina Juma Masenza Ilemela Iringa
3 Dkt. Ibrahim Hamis Msengi Moshi Katavi
4 Halima Omari Dendego Tanga Mtwara
5 Daudi Felix Ntibenda Karatu Arusha
3) Wakuu wa Wilaya waliopangiwa majukumu mengine
Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa na watapangiwa kazi nyingine ni hawa wafuatao;
NA. JINA WILAYA
1 Brig. General Cosmas Kayombo Simanjiro
2 Col. Ngemela Elson Lubinga Mlele
3 Juma Solomon Madaha Ludewa
4 Mercy Emanuel Silla Mkuranga
5 Ahmed Ramadhan Kipozi Bagamoyo
6 Mrisho Gambo Korogwe
7. Elinas Anael Pallangyo Rombo
4) Wakuu wa Wilaya Wanaotenguliwa
Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana na sababu za umri, kiafya na nyinginezo na vituo vyao ni kama inavyoonekana hapa chini:
NA JINA WILAYA
1. James Kisota Ole Millya Longido
2. Elias Wawa Lali Ngorongoro
3. Alfred Ernest Msovella Kongwa
4. Dany Beatus Makanga Kasulu
5. Fatma Losindilo Kimario Kisarawe
6. Elibariki Emanuel Kingu Igunga
7. Dr. Leticia Moses Warioba Iringa
8 Evarista Njilokiro Kalalu Mufindi
9. Abihudi Msimedi Saideya Momba
10. Martha Jachi Umbula Kiteto
11 Khalid Juma Mandia Babati
12 Eliasi Goroi Boe Boe Goroi Rorya
5) Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa
Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Wilaya zao ni wafuatao;
NA. JINA JINSI WILAYA
1. Mariam Ramadhani Mtima KE Ruangwa
2. Dkt. Jasmine B. Tiisike KE Mpwapwa
3. Pololeti Mgema ME Nachingwea
4. Fadhili Nkurlu ME Misenyi
5. Felix Jackson Lyaniva ME Rorya
6. Fredrick Wilfred Mwakalebela ME Wanging’ombe
7. Zainab Rajab Mbussi KE Rungwe
8. Francis K. Mwonga ME Bahi
9. Col. Kimiang’ombe Samwel Nzoka ME Kiteto
10. Husna Rajab Msangi KE Handeni
11. Emmanuel Jumanne Uhaula ME Tandahimba
12. Mboni Mhita KE Mufindi
13. Hashim S. Mngandilwa ME Ngorongoro
14. Mariam M. Juma KE Lushoto
15. Thea Medard Ntara KE Kyela
16. Ahmad H. Nammohe ME Mbozi
17. Shaban Kissu ME Kondoa
18. Zelote Stephen ME Musoma
19. Pili Moshi KE Kwimba
20. Mahmoud A. Kambona ME Simanjiro
21. Glorius Bernard Luoga ME Tarime
22. Zainab R. Telack KE Sengerema
23. Bernard Nduta ME Masasi
24. Zuhura Mustafa Ally KE Uyui
25. Paulo Makonda ME Kinondoni
26. Mwajuma Nyiruka KE Misungwi
27. Maftah Ally Mohamed ME Serengeti
6) Wakuu wa Wilaya waliobadilishwa Vituo
Wakuu wa Wilaya wafuatao wamebadilishwa vituo vya kazi kama ifuatavyo;
NA JINA JINSIA WILAYA
ATOKAYO AENDAYO
1. Nyerembe Deusdedit Munasa ME Arumeru Mbeya
2 Jordan Mungire Obadia Rugimbana ME Kinondoni Morogoro
3 Fatma Salum Ally KE Chamwino Mtwara
4 Lephy Benjamini Gembe ME Dodoma Mjini Kilombero
5 Christopher Ryoba Kangoye ME Mpwapwa Arusha
6 Omar Shaban Kwaang’ ME Kondoa Karatu
7 Francis Isack Mtinga ME Chemba Muleba
8 Elizabeth Chalamila Mkwasa KE Bahi Dodoma
9 Agnes Elias Hokororo (Mb)
KE Ruangwa Namtumbo
10 Regina Reginald Chonjo KE Nachingwea Pangani
11 Husna Mwilima KE Mbogwe Arumeru
12 Gerald John Guninita ME Kilolo Kasulu
13 Bi Zipporah Lyon Pangani KE Bukoba Igunga
14 Col. Issa Suleimani Njiku ME Missenyi Mlele
16 Bw. Richard Mbeho ME Biharamulo Momba
17 Bw. Lembris Marangushi Kipuyo ME Muleba
Rombo
18 Ramadhani Athuman Maneno
ME Kigoma Chemba
19 Venance Methusalah Mwamoto
ME Kibondo Kaliua
20 Gishuli Mbegesi Charles
ME Buhigwe Ikungi
21 Novatus Makunga
ME Hai Moshi
21 Anatory Kisazi Choya
ME Mbulu Ludewa
22 Christine Solomoni Mndeme
KE Hanang’ Ulanga
23 Jackson William Musome
ME Musoma Bukoba
24 John Benedict Henjewele
ME Tarime Kilosa
25 Dkt. Norman Adamson Sigalla ME Mbeya Songea
26 Dr. Michael Yunia Kadeghe ME Mbozi Mbulu
27 Crispin Theobald Meela ME Rungwe Babati
28 Magreth Ester Malenga KE Kyela Nyasa
29 Said Ali Amanzi
ME Morogoro Singida
30 Antony John Mtaka ME Mvomero Hai
31 Elias Choro John Tarimo ME Kilosa Biharamulo
32 Francis Cryspin Miti ME Ulanga Hanang’
33 Hassan Elias Masala
ME Kilombero Kibondo
34 Angelina Lubalo Mabula
KE Butiama Iringa
35 Farida Salum Mgomi KE Masasi Chamwino
36 Wilman Kapenjama Ndile ME Mtwara Kalambo
37 Ponsian Damiano Nyami ME Tandahimba Bariadi
38 Mariam Sefu Lugaila KE Misungwi Mbogwe
39 Mary Tesha Onesmo KE Ukerewe Buhigwe
40 Karen Kemilembe Yunus KE Sengerema Magu
41 Josephine Rabby Matiro KE Makete Shinyanga
42 Joseph Joseph Mkirikiti ME Songea Ukerewe
43 Abdula Suleiman Lutavi
ME Namtumbo Tanga
44 Ernest Ng’wenda Kahindi ME Nyasa Longido
45 Anna Rose Ndayishima Nyamubi KE Shinyanga Butiama
46 Rosemary Kashindi Kirigini (Mb) KE Meatu Maswa
47 Abdallah Ali Kihato ME Maswa Mkuranga
48 Erasto Yohana Sima
ME Bariadi Meatu
49 Queen Mwanshinga Mulozi KE Singida Urambo
50 Yahya Esmail Nawanda ME Iramba Lindi
51 Manju Salum Msambya ME Ikungi Ilemela
52 Saveli Mangasane Maketta ME Kaliua Kigoma
53 Bituni Abdulrahman Msangi
KE Nzega Kongwa
54 Lucy Thomas Mayenga
KE Uyui Iramba
55 Majid Hemed Mwanga ME Lushoto Bagamoyo
56 Muhingo Rweyemamu ME Handeni Makete
57 Hafsa Mahinya Mtasiwa KE Pangani Korogwe
58 Dr. Nasoro Ali Hamidi ME Lindi Mafia
59 Festo Shemu Kiswaga ME Nanyumbu Mvomero
60 Sauda Salum Mtondoo KE Mafia Nanyumbu
61 Seleman Mzee Seleman ME Kwimba Kilolo
62 Esterina Julio Kilasi KE Wanging’ombe Muheza
63 Subira Hamis Mgalu KE Muheza Kisarawe
64 Jacqueline Jonathan Liana KE Magu Nzega
7) Wakuu wa Wilaya wanaobaki katika vituo vyao vya sasa
Wakuu wa Wilaya wafuatao wanaendelea kubaki katika vituo vyao vya sasa;
NA JINA JINSIA WILAYA
1 Jowika Wilson Kasunga ME Monduli
2 Raymond Hieronimi Mushi ME Ilala
3 Sophia Edward Mjema KE Temeke
4 Bw. Amani Kiungadua Mwenegoha ME Bukombe
5 Bw. Ibrahim Wankanga Marwa ME Nyang’wale
6 Bw. Rodrick Lazaro Mpogolo ME Chato
7 Bw. Manzie Omar Mangochie ME Geita
8 Bi. Darry Ibrahim Rwegasira KE Karagwe
9 Lt. Col. Benedict Kulikila Kitenga ME Kyerwa
10 Constantine John Kanyasu ME Ngara
11 Paza Tusamale Mwamulima ME Mpanda
12 Peter Toima Kiroya ME Kakonko
13 Hadija Rashid Nyembo KE Uvinza
14 Dkt. Charles O. Mlingwa ME Siha
15 Shaibu Issa Ndemanga ME Mwanga
16 Herman Clement Kapufi ME Same
17 Ephraim Mfingi Mbaga ME Liwale
18 Abdallah Hamis Ulega ME Kilwa
19 Joshua Chacha Mirumbe ME Bunda
20 Deodatus Lucas Kinawiro ME Chunya
21 Rosemary Staki Senyamule KE Ileje
22 Gulamhusein Kifu Shaban ME Mbarali
23 Christopher Edward Magala
ME Newala
24 Baraka Mbike Konisaga
ME Nyamagana
25 Sarah Philip Dumba
KE Njombe
26 Hanifa Mahmoud Karamagi
KE Gairo
27 Halima Meza Kihemba KE Kibaha
28 Nurdin Babu ME Rufiji
29 Mathew Sarja Sedoyeka ME Sumbawanga
30 Idd Hassan Kimanta ME Nkasi
31 Chande Bakari Nalicho ME Tunduru
32 Bibi Senyi Simon Ngaga KE Mbinga
33 Wilson Elisha Nkambaku ME Kishapu
34 Benson Mwailugula Mpesya ME Kahama
35 Paul Chrisant Mzindakaya ME Busega
36 Georgina Elias Bundala KE Itilima
37 Fatuma Hassan Toufiq
KE Manyoni
38 Lt. Edward Ole Lenga ME Mkalama
39 Hanifa Mohamed Selengu
KE Sikonge
40 Suleman Omar Kumchaya ME Tabora
41 Mboni Mwanahamis Mgaza KE Mkinga
42 Seleman Salum Liwowa ME Kilindi
Mabadiliko haya yameanza tarehe 18.02.2015 na ninawatakia wote utendaji kazi mahiri.
Mizengo K. P. Pinda
18.02.2015 WAZIRI MKUU