RAIS KIKWETE AMWANDALIA RAIS BARACK OBAMA DHIFA YA KITAIFA IKULU Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Usiku.