![Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama aapishwa](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/Picha-1.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akimwapisha, Edward Rutakangwa kuwa kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama katika hafla fupi iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Aron Msigwa –MAELEZO
![Picha ya pamoja baada ya kuapishwa](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/Picha-4.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akifurahia Jambo na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Edward Rutakangwa (wa tatu kutoka kulia) mara baada ya kumwapisha leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Jaji wa mahakama ya Rufani Mussa Kipenka na Jaji Semistocles Kaijage (wa kwanza kushoto). Picha na Aron Msigwa –MAELEZO