Rais Kikwete Amtembelea Mbunge Vita Kawawa Hospitalini, Aagana na Balozi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Djelloul Tabel, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na Ikulu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Djelloul Tabel, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya
kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na Ikulu.