
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akizungumza baada ya kuzindua Daraja la Mto Mtombozi Tarafa ya Matombo wilayani Morogoro Mjini January 17, 2012.

Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua.

-akielekea-jukwaani-kuhutubia-wananchi-baada-ya-kuweka-jiwe-la-msingi-kwa-ujenzi-wa-soko-la-kijiji-cha-Mtamba-Morogoro-vijiji