Rais Kikwete akutana na Mh. Hillary Clinton Ikulu Dar!

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mheshimiwa Hillary Clinton mara baada ya kufanya mazungumzo ya kiserikali huko Ikulu tarehe 13.6.2011

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo ya tete-a-tete na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani Mheshimiwa Hillary Clinton huko Ikulu tarehe 13.6.2011.

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika Press Conference na Mheshimiwa Hillary Clinton huko Ikulu tarehe 13.6.2011

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani Mheshimiwa Hillary Clinton na Mama Salma Kikwete mara tu baada ya Bibi Clinton alipowasiri Ikulu tarehe 13.6.2011.