Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiwahutubia wazee wa Jiji la Dar es Salaam jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Kutoka kulia ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadick na shoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na Mwenyekiti wa wazee wa Dar es Salaam, Mzee Iddi Simba. Picha na Ikulu.