
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi saba za Afrika leo Februari 17, 2012 katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA IKULU)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi saba za Afrika leo Februari 17, 2012 katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es Salaam.