Rais Kikwete Akifungua Mkutano wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa mjini Dodoma.


Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa, Mama Salma Kikwete, Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na Ridhwani Kikwete wakijadiliana jambo muda mfupi kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa Halmashuari kuu ya CCm taifa katika jengo la White House, mjini Dodoma. Picha na Freddy Maro.