Rais Kikwete afanya mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Urusi

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa Shirikisho la Urusi (Russian Federation), Alexandra Alexandrovich Rannikh baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Novemba 9, 2011, Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni mkalimani Nikita Rassokhin. Picha ya chini wakiagana baada ya mazungumzo. (Picha na Ikulu)